Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,383
Samsung player model HT-E6750w/xy imetoa msg ya protect mode baada ya kuwaka kisha ikazima. Nimechat na Samsung kwa kuwapa serial number naona ni story tu. Pls mwenye uelewa wa hii maneno
NakuPm mkuuTatizo ni kuwa ktk sekunde chache inapata joto sana. Na inaamua kujistwitch off. 1.huenda kuna waya zinaleta short 2.power supply module ina components zinalikage( need to be replaced)
Check na Samsung dealler. Kama awawezi ni PM ntakusaidia
Katika electronics akuna kitu kinachoitwa class D capacitor. Aliekwambia hivyo ajui electronicsNnani anajua kupima vzr class D capacitors?
Mate I ment amplifier not capacitor! Really am novice in electronics. Please can you reply my PmKatika electronics akuna kitu kinachoitwa class D capacitor. Aliekwambia hivyo ajui electronics
Nimeisoma. Ntaomba niione hiyo Deck ni pm namba yako tuwasiliane.nipo DarChipukizi ebu soma hapa Craftsman Hambs: Samsung Home Theater HT-X40 - Shut Down on Protection Problem
Kuna jamaa aliweza kutatua hiyo shida. Sema vile mi niko mweupe kbs ktk hizo mambo huenda ningesolve mwenyewe