Nahitaji Kioo cha ZenFone 5.

fakalava

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
4,459
6,027
Kioo cha simu yangu kimepasuka, nitakipata wapi kwa hapa Dar es salaam?
 
Kiukweli Dar inaweza kuwa ngumu kwa simu za asus. Sisemi haiwezekani ila ukishindwa kupata dar jaribu kuagiza ebay
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom