Kuweka Tangazo(Ads) kwenye blog

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,711
1,015
Habari Wakuu?
Nimefungua blogspot mwaka jana.
Nataka iweze kuwa na matangazo ya ads.
Nimejaribu ila nimekwama kidogo naomba msaada.
 
Naomba kujizwa hizi blog kwa nini baadhi zina mapicha ya ngono? Why? Mfano kule Facebook kwa kweli it is too much, utaona heading inakustua ukiifuata unakaribishwa na mapicha ya ngono aaarg..
Account za adsense zipo fully activated kwa TZS 30000/=
 
Naomba kujizwa hizi blog kwa nini baadhi zina mapicha ya ngono? Why? Mfano kule Facebook kwa kweli it is too much, utaona heading inakustua ukiifuata unakaribishwa na mapicha ya ngono aaarg..
wanatafuta clicks kwenye adsense
 
Naomba kujizwa hizi blog kwa nini baadhi zina mapicha ya ngono? Why? Mfano kule Facebook kwa kweli it is too much, utaona heading inakustua ukiifuata unakaribishwa na mapicha ya ngono aaarg..
Inategemea na mhusika ameanzisha kwa malengo gani. Mie ya kwangu ni kwa ajili ya shughuli tulizonazo
 
Naomba kujizwa hizi blog kwa nini baadhi zina mapicha ya ngono? Why? Mfano kule Facebook kwa kweli it is too much, utaona heading inakustua ukiifuata unakaribishwa na mapicha ya ngono aaarg..
Sababu ni moja tu! Bloggers wengi hawana ubunifu wa ku-drive traffic kwenye blogs zao na hivyo kuamua kuweka picha za ngono kama njia za kuvuta visitors! Wanachosahau ni kwamba kwa staili hiyo wanapoteza fursa hata ya kufanya biashara na local advertisers coz' sitarajii kwa kampuni inayoheshimika iweke matangazo kwenye blog iliyojaa picha za ngono!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom