Msaada bei ya kioo cha HTC Desire 816 Kwa Dar es salaam

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
216
Habarini wana jukwaa poleni na majukumu tafadhali naomba kujua bei ya kioo cha simu aina ya HTC desire 816 Kwa dar mimi nipo morogoro nimetafuta bila mafanikio asanteni sana.
1454421214142.jpg
 
Back
Top Bottom