Ni uamuzi wako tu kwenye suala la kuupgrade hiyo windowspoa WAHEED SUDAY,pia RASHAKA amia windows 8,8.1 au 10 kumbuka MICROSOFT WANAACHA KUSUPPORT WINDOWS 7 hivyo uwepo wa kushambuliwa na virusi ni rahisi sana....NB
fungua flash yako, achana nayo.nenda start......control panel..........appearance and personalisation.......folder option......show hidden files &folders.........advanced settings....(check) the "show hidden files,folders or drives box.....(uncheck) next 3 boxes..... when warning box appears say "yes".click "apply" and "yes".rudi kwenye flash yako utaona mafaili yako.....cut.. paste sehemu halafu format flash yako then rudisha mafaili yako............ good day....Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka antivirus bado jibu ni hilo hilo, je nitumie njia gani?
usisahau kurudisha settings kama zilivokuwa mwanzo, yaani kucheck na uncheck boxes ulizobadilisha.fungua flash yako, achana nayo.nenda start......control panel..........appearance and personalisation.......folder option......show hidden files &folders.........advanced settings....(check) the "show hidden files,folders or drives box.....(uncheck) next 3 boxes..... when warning box appears say "yes".click "apply" and "yes".rudi kwenye flash yako utaona mafaili yako.....cut.. paste sehemu halafu format flash yako then rudisha mafaili yako............ good day....
fungua command prompt (bonyeza start kisha type cmd then hit enter) ukisha fungua andika command ifuatayo attrib -h -r -s /s /d <Your USB drive letter>:\*.* kisha hit enter (angalizo zingatia kuweka space ukishindwa copy kama ilivyo kisha badilisha usb latter mfano (attrib -h -r -s /s /d <D>:\*.*) )Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka antivirus bado jibu ni hilo hilo, je nitumie njia gani?
Sasa kama mtu ishu ya shortcut imemshinda ku solve. We unahisi swala la kuandika hizo command prompt ataweza. Kwaza ni ngumu sana my be mpe plan Bfungua command prompt (bonyeza start kisha type cmd then hit enter) ukisha fungua andika command ifuatayo attrib -h -r -s /s /d <Your USB drive letter>:\*.* kisha hit enter (angalizo zingatia kuweka space ukishindwa copy kama ilivyo kisha badilisha usb latter mfano (attrib -h -r -s /s /d <D>:\*.*) )
Sasa kama mtu ishu ya shortcut imemshinda ku solve. We unahisi swala la kuandika hizo command prompt ataweza. Kwaza ni ngumu sana my be mpe plan B
fungua command prompt (bonyeza start kisha type cmd then hit enter) ukisha fungua andika command ifuatayo attrib -h -r -s /s /d <Your USB drive letter>:\*.* kisha hit enter (angalizo zingatia kuweka space ukishindwa copy kama ilivyo kisha badilisha usb latter mfano (attrib -h -r -s /s /d <D>:\*.*) )
Mi nilidhani anatania na hivi ameweka ka 'imoji'Sasa kama mtu ishu ya shortcut imemshinda ku solve. We unahisi swala la kuandika hizo command prompt ataweza. Kwaza ni ngumu sana my be mpe plan B
Huyo sijui nimwiteje ok kirusi huyo anachukua data zoote anapeleka katika hidden file linaloitwa recycler ikishatokea hivyo ni ngumu kutoka kwa antivirus ...mimi huwa namtoa manualy kwa kutumia comand promt 0715866429Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka antivirus bado jibu ni hilo hilo, je nitumie njia gani?
MIM NAMUITAGA RECYCLER VIRUS..anauwezo wa kudanganya antivirus hata ukiupdateMsaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka antivirus bado jibu ni hilo hilo, je nitumie njia gani?