JINSI YA KUFUTA HISTORIA YA WEBSITE NILIZOFUNGUA

JOHNKEKE

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,311
1,466
Naelewa computer ina record websites mbalimbali ulizotembelea. Naomba msaada jinsi ya kufuta na mtu mwingine ashindwe kuona hiyo rekodi ya websites nilizotembelea.
Msaada tafadhali
 
teh teh teh!!!!!!!!mkuu ulitembelea MAMBO YETU YALEEEEEEEE nini?hayafutiki itabidi ubadilishe window
 
teh teh teh!!!!!!!!mkuu ulitembelea MAMBO YETU YALEEEEEEEE nini?hayafutiki itabidi ubadilishe window
Hapana siyo yale mambo yetu, ni website nyingine. Lakini policy ya ofisi hairuhusu kuperuzi website nyingine yeyote!
 
Back
Top Bottom