Haa kwahiyo angesema samsung galaxy note 3 fake! Mchina bwana…Duh! Mkuu samsung galaxy note 3 haina flash kwenye front camera, Hiyo jaribu kuitazama inaweza kua ni ya kichina.
Sidhani kama wanelewa kuhusu hilo swala..... Samsung hana flash kwenye front camera... Kuanzia Note 1 hadi latest Note 5... Umejibu mkuu sema nasisitiza tuuuu...Samsung original hana flash kwenye front camera kuanzia note 1 mpaka latest ya sasa hivi note 5.