Bundle ya Tigo night ambayo ilikuwa 20 GB ikichakachuliwa hadi ikawa 5 GB sasa imezidi kudhoofika na imeshuka tena hadi 4GB!
20GB?? nakumbuka enzi za unlimited, kisha wakaja 30GB.. mteren=mko ulianza hapo..
mkuu Kang nina miaka sijainigia huku jamviini, nimeumizwa na hili jambo hadi inabidi nije nitafutane na wale wa ma bus nijue kama bado wapo maaana hadi hapa naumia tele
P.S Chief-Mkwawa bado yupo??
Bus nyingi zimepinduka kitambo.20GB?? nakumbuka enzi za unlimited, kisha wakaja 30GB.. mteren=mko ulianza hapo..
mkuu Kang nina miaka sijainigia huku jamviini, nimeumizwa na hili jambo hadi inabidi nije nitafutane na wale wa ma bus nijue kama bado wapo maaana hadi hapa naumia tele
P.S Chief-Mkwawa bado yupo??