MARSHMALLOW

angalia changelog website ya android ni nyingi sana ila moja kubwa inayotuhusu wabongo utaweza fanya memory card iwe internal memory na simu itaitambua kama phone memory

mfano una simu ya 4gb na memory card ya 8gb unaweza igawanya memory card 4gb ziwe internal na 4gb zibaki kama memory card.

jambo jengine sasa hivi utakuwa na control ya permission za app. atleast utazikatalia apps zisiibe data.

angalia changelog hapa

http://fieldguide.gizmodo.com/14-things-you-can-do-in-android-marshmallow-that-you-co-1736673078
 
Thanks mkuu
 
Hy fingerprint ni inakuja kama app au ni mpaka simu yako iwe na huo mfumo
 
1. support ya usb type c
kama hufahamu simu mpya zinazotoka sasa hivi zitakuja na usb mpya tofauti na hizi tunazotumia kuchajia ipo kama hivi
usb-type-c-3-792x446.png

faida yake ni
-inachaji upesi zaidi sababu inapitisha umeme mwingi
-ni reversible vyovyote utakavyoichomeka inadumbukia haina juu na chini
-multitasking- inauwezo wa kufanya vitu vingi kwa pamoja mfano kuchaji simu huku unahamisha video kutoka kwenye simu hadi tv
-data zitapita upesi upesi. mfano unahamisha movie toka kwenye laptop kuja kwenye simu mwenye usb type c movie itaingia haraka zaidi.

hio usb type c ni hardware na marshmallow itakuwa na software inayoendesha hayo mambo.

2. separate volume
utakuwa na uwezo wa kuongeza na kupunguza sauti ya vitu vingi zaidi kama alarm, call, music nk android za nyuma ipo ila huku imeongezwa zaidi.

mfano unaweza kueka vibration simu ukipigiwa inakuwa kimya ila ukiplay video sauti inatoka.

3. doze mode
hii ni njia mpya ya kutunza chaji, simu ikikaa muda mrefu bila kuguswa italala na kula chaji kidogo sana hivyo kutunza battery.

ulalaji wake utakuwa mkubwa sana kuliko ule wa lockscreen itakuwq kama umeeka airplane mode hivi.

4. web inside app
utakapoclick link ukiwa kwenye app itakuja pop up browser ndani ya app bila kukutoa kwenye app na kukupeleka kwenye browser

5.monitor ram
utapata info za app zinavyokula ram ila kwa mchanganuo mkubwa zaidi.

mfano unaweza ukajua ndani ya masaa 24 ni app ipi imekula sana ram

6.njia mpya ya kuchagua maneno kwa ajili ya copy and paste ambayo ina usahihi zaidi
 
Nimekuelewa sana good
 
sasa kaka mbona kama wanataka kutufanya tusigeukie win ten huko kwa kina lumia?

au mirosoft naye anatuletea yapi yatakayo tushawishi?
 
1. memory card ipo supported toka windows phone 8.1 almost kila kitu unaweza eka kwenye sd card (even updates za os)

2. doze mode haihitajiki wp sababu standby yake by default tayari ni doze mode. simu zisizoruhusu background task ukizima kioo almost hazili chaji.

3.separate volume keys ipo toka windows phone 8.1

4. finger print kwenye windows kuna windows hello ambayo ni superior zaidi inakubali finger print, iris scanning etc ipo certified kutumika maofisini

usb type c sijui inakuja lini ila hope simu ijayo itakuwa nayo.

now nasubiria x86 phone toka microsoft (surface phone) hii ndio itakuwa dream phone yangu
 
Habar chief,naomba msaada simu yangu net IPO fresh lkn cha ajabu kila nikijaribu kudownload apk ya game ambalo lipo cracked nashangaa inachukua mda sana wakat net IPO faster ...msaada pls
 
speed ya kubrowse au kufanya vitu vidogo vidogo kama streaming na kupiga simu za online mara nyingi inakuwa influenced na ping.

na speed ya kudownload ndio ile actual speed ya mtandao.

pia itategemea na ukubwa wa file unalodownload.

kwa kuanza fanya haya.
1. nenda playstore download app ya speedtest halafu open then pima speed yako kisha record vitu hivi viwili vilete hapa
1. ping
2. download speed

2. nitajie ukubwa wa hilo game
 
C8 inaleta ujumbe wa ku-update version kwenda Marshmallow tarehe ngapi mwezi huu 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom