Nina simu nataka kuiuza ni Samsung s4 nililiset sasa sahizi nikizima au kuwasha inaandika android badala ya Samsung niifanyeje ili irudi kama zamani I??
simu za kichina ndio ukireset inapoteza logo ya samsung. ipo njia ya kuirudisha ila unarisk zaidi unaweza ukaharibu na chengine. mwambie tu ukweli huyo unaemuuzia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.