kilama JF-Expert Member Jul 14, 2015 2,735 1,963 Feb 10, 2016 #1 wadau nimelipia hapa king'amuzi za zuku mwanzo zilikubali lakini kwa sasa kila chanel nikifungua inaniandikia no signal, hvyo naombeni msaada wadau
wadau nimelipia hapa king'amuzi za zuku mwanzo zilikubali lakini kwa sasa kila chanel nikifungua inaniandikia no signal, hvyo naombeni msaada wadau
King klax JF-Expert Member Jul 10, 2015 4,293 2,739 Feb 10, 2016 #2 Inawezekana dish limecheza mtafute fundi wa kuseti ving'amuzi atakusetia