Msaada: Ku-unlock Vodafone V785

BRO LEE

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
830
603
Naomba kuelekezwa km kuna namna ya ku unlock vodafone v785 dogo alichezea.
 
1. Zima simu na toa betri kwa sec 5 au 10, alafu irudshe
2. Bonyeza kitufe cha kuongeza saut(volume+) na cha kuwashia simu(power button) mpaka itokee logo la android
3. Navigate kwenye data/factory reset
4. Nenda katika option imeandkwa delete all user data
5. Iache imalze, baada ya hapo reboot simu yako, itakuwa ipo fresh

Note: doing factory reset deletes all data on your phone including pictures, documents, music's, videos, contacts etc. Do it at your own risky
 
Mkuu nimefanikiwa ila kumbe na line imelock naulizwa PUK nafanyaje, ni laini ya voda
1. Zima simu na toa betri kwa sec 5 au 10, alafu irudshe
2. Bonyeza kitufe cha kuongeza saut(volume+) na cha kuwashia simu(power button) mpaka itokee logo la android
3. Navigate kwenye data/factory reset
4. Nenda katika option imeandkwa delete all user data
5. Iache imalze, baada ya hapo reboot simu yako, itakuwa ipo fresh

Note: doing factory reset deletes all data on your phone including pictures, documents, music's, videos, contacts etc. Do it at your own risky
 
Shukrani sana mkuu nimefanikiwa, sasa nipo hewani tena. Je nikitaka kutumia line nyingine badala ya voda tu nafanyaje?
Mkuu hapo huna jinsi zaidi ya kuifanyia network unlock ambayo kwa model hii na nyingine nyingi za Vodafone ni lazima utumie Boxes tu.
 
Back
Top Bottom