medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,387
- 1,397
Wadau ni app gani nzuri ya playstore itakayoniwezesha kuandika kwenye MS word na kuhamisha faili kwenye pc na kutokea kama ilivyo
Nina maanisha kwenye kuandika sio kusoma kwenye simu na kukopi kwenye pc direct kwenye MS word bila kufanya edit yoyoteking office inasoma format zote
ShukraniNdio hiyi hapo unaweza kuandika na kufanya chochote unachofanya kwenye P C
Shukranidownload office ipo kwa android.