Yasin21 JF-Expert Member Jul 15, 2015 667 402 Feb 10, 2016 #1 Habari za wanajukwaa wote Naombeni msaada simu yangu kila nikiwasha Bluetooth inaji switch off yenyewe(yaani Bluetooth inajizma)
Habari za wanajukwaa wote Naombeni msaada simu yangu kila nikiwasha Bluetooth inaji switch off yenyewe(yaani Bluetooth inajizma)
EMMYGUY JF-Expert Member Aug 6, 2015 11,099 25,346 Feb 10, 2016 #2 Nimejiweka kimbelembele tu 'kukomenti', ngoja waje wataalam.