Msaada kuondoa ads ya DU Battery

nxon

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,162
407
kuna ads ya du battery ina pop up kila mara data ikiwa on, inanikera sana kama kuna mtu mwenye utaalamu wa kuliondoa hili tatizo anisaidie.
 
kama umeroot simu yako install adaway kisha fuata maelekezo kwisha tatizo
 
Pole mkuu. Ushafanikiwa kuiondoa hiyo du icon? kama bado ni-pm tuelekezane Nxon
 
Back
Top Bottom