HUAWEI Y530,na tatizo la kustuck

Niliishakuwa nayo mkuu.

Niliistall applock, du speed booster.facebook app.
Ikawa nzito na kustack sana, nikazitoa ikarudi sawa.

Embu angalia kama kuna app yoyote uliyoiweka ambayo hata isipokuwepo simu inafanya kazi itoe.
 
kwa uhakika zaid kuiupdate nahakika itakaa vzur ingia google halaf search for huawei y530 update litakuja file den lishushe mzee baaada ya tia kwa memory card den kwa sim yako bonyeza vol up + vol down +power button then achia kama baada ya dakika moja halaf iache iendelee yenyewe lakn kama ukitaka msaada physically unawe kunipigia kwa namba 0653868632 au fika ofcn kariaakoo barabara ya uhuru karibu na screen kubwa ya matangazo pale kariakoo ahsanten xana
 
Back
Top Bottom