mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Katika video hii nimekuonyesha custom rom ya android v 5.0 ambayo inapendezesha sim na kuifanya ffective.
Naombeni support wakuu
Naombeni support wakuu
kay sijaiona labda ulisahauKazi nzuri kaka.. Naku pm.. I think we got something to talk liljustine21
Am sorry Boss ila kuna vitu Mtu unakua use to.. trust me i my self najaribu kuachaPunguza slang mjomba inaudhi just be real Tanzanian...! Otherwise good job.
Punguza slang mjomba inaudhi just be real Tanzanian...! Otherwise good job.
Am sor
Am sorry Boss ila kuna vitu Mtu unakua use to.. trust me i my self najaribu kuacha
Ni mtazamo wako pia na kama umeona ivo sawa nashukuru kuna lolote ingine boss?Anakua use to? Ndo nini? Ungetumia kiswahili tu umezoea english wewe umezaliwa uk au usa? Acha ushamba. Toa knowledge watu wakuelewe achana na mbwembwe za tuvijana tudogo
Binafsi huwa napenda mtu aongee kiingereza au kiswahili fasaha ila Hukuwa na sababu ya kutumia lugha kali kumwelewesha. Alishaelewa akaendelea kujieleza. Ungetumia lugha ya kistaarabu tu kuliko maneno kama "umezaliwa usa au uk?", "ushamba" n.kAnakua use to? Ndo nini? Ungetumia kiswahili tu umezoea english wewe umezaliwa uk au usa? Acha ushamba. Toa knowledge watu wakuelewe achana na mbwembwe za tuvijana tudogo
Nashukuru umeliona hilo kiongozi..Binafsi huwa napenda mtu aongee kiingereza au kiswahili fasaha ila Hukuwa na sababu ya kutumia lugha kali kumwelewesha. Alishaelewa akaendelea kujieleza. Ungetumia lugha ya kistaarabu tu kuliko maneno kama "umezaliwa usa au uk?", "ushamba" n.k
Nadhan umeona nimeuliza hapo anasema amezoea(used to) though he wrote use to. Amezoea amezaliwa uk au usa? Mswahili anasemaje amezoea kiingereza kama si ushamba huo? Ushamba si tusi mi nmesoma lugha hata mimi kuna mambo nakuwa mshamba sema kiwango cha kuonesha ushamba ndo kinatofautiana. Lakini kama anazungumza na waswahil kuna haja gani ya kuokoteza okoteza maneno ya kiingereza?code switching. Mtu aamue kama ni kiswahili au kiingereza na akiamua kutumia kiingereza pia tutamshangaa ikiwa lengo lake ni kuwafundisha waswahili. Kumuita mtu mshamba si tusi maana mimi huwa situkani na sipendi kutukana. Na pia napotumia lugha kali naonesha msisitizo wa aina ya kosa alilofanya kimaandishi. Hivyo aelimishe na zile mbwembwe zisizo na maana aachane nazo maana hata wenye lugha watamdharau. Mi naweza kuzungumza pasipo shida kiswahili,kiingereza,kihispania, kijeruman na kiarabu kidogo lakini nikiamua kutumia lugha moja naitumia hiyo hiyo na ikitokea nikaweka maneno ya lugha nyingine ni kwa bahati mbaya na huomba radhi na pengine ni kutaka tu kuonesha umahiri wangu katika lugha husika.au napokutana na wajivuni waso na ulumbi wa maneno katika mada husika na pia ni kuendana na muktadha au hadhira iliyopo.