Kufurushi cha chuo voda

chotarasukari

Senior Member
Jan 6, 2013
110
23
Habari wakuu. Hivi kifurushi cha chuo cha vodacom kimefutwa au wamebafili namba za kujiungia mana nimetaka jiunga Leo kupitia *149*02# na kukuta maelezo mapya kabisa.
 
Da kama sasa hvi unajiunga popote bs watasabbsha nisihame voda maana tayari nilisha nunua line ya hl. Nataka kuhamia huko.
 
Kwa taarifa nilizo zipata kutoka kwa student wa Malimbe SAUT mwanza " lazima uandikishe jina admissions office ili wafanyakazi wa vodacom wayachukue na kuyaingiza kwa database yao ili kuyatambua kuwa ni wanachuo hivyo utaweza jiunga ukiwa mahali popote kama tigo walivyofanya mwaka jana." Sasa sijui kama ni kweli
 
Ni lazima voda wakusajili kwanza ndio utumie hiyo huduma,
Kama haujasajiliwa itakuambia huduma haipatikani.
 
Back
Top Bottom