trojan
Member
- Feb 12, 2016
- 77
- 27
Linapofikia swala la wizi katika mtandao kila mmoja wetu uongea kadiri anavyoelewa tena baadhi yetu hudiriki hata kutaja baadhi ya njia zinazotumia katika wizi wa mitandao.
Hivi majuzi nilikua nikifundisha vijana na kuwaelekeza Jinsi ya kuepukana na kuzuia wizi katika mitandao,nimegundua kua wengi wetu hatuna elimu hii.Vijana wengi hupenda kujiita "Hacker" kuashiria wamekubuu katika wizi wa mitandao ingawa elimu hio hawana zaidi ya kujua njia zinazotumiwa kufanya wizi huo.Ifahamike kua elimu ya wizi wa mitandao haifundishwi darasani nawala hakuna mtaala maalumu wa kufuata ili uwe na maarifa haya.Inahitaji bidii maalumu ili kufahamu vyote hivi.
Hvyo niliamua kufanya mfano kuonyesha wizi huo jinsi unavyofanyika.Nilifanya mfano wangu kwa kutumia phishing.
Phishing
Hii ni njia ya wizi katika mtandao ambayo hutumia webpage sawa na web page halisi,mfano mwizi huweza kutengeneza page ya login sawa na page ya login ya facebook.Link ya page hii hutumwa kwa mtu ambae account yake inahitaji kuibiwa ,baada ya mhanga kufungua link hiyo mara nyingi watu hudhan labda page yake imejifunga,mara utakapo ingiza username na password yako na kuclick ok! credentials zako zitatumwa kwa mwizi huyo na ataweza kuziona uchi.
Ninapenda kushare hii kwa wanajamvi hasa watu wa IT,yeyote ambae angependa kujua kupitia mfano ama kujaribu ani pm,Nitamuunganisha kwenye group na jioni hii yaleo nitatuma link na kila mtu anaweza akajaribu na kuuliza maswali.
WARNING:
Usijaribu kuingiza information zako halali kwali zitakua public hivyo kila mtu atakua na uwezo wa kuziona .
Hii nimefanya kwa ajili ya kujifunza tu kama utafanya wizi wowote kwa njia hii ,mimi trojan sitahusika katika hilo.
Njia za kuzuia
-Kwa watu watakao kua na web antivirus page hii itakua blocked.Hivyo watu tunaopenda kua online tukumbuke kua na antivirus ni muhimu sana.
-Kua makini sana na link unazotumiwa kwenye message.