Msaada kujua tofauti ya Tables na Ipad

Msaada kujua tofauti ya Tables na Ipad

iPad ni kifaa cha kielektroniki. Tables ni wingi wa neno la kiingereza 'table' likimaanisha 'meza'

sasa sijui mwenzetu umetumia akili gani kufananisha vitu hivi viwili.

hahah asee hujachuna hata...okay pengine alimaanisha tu ..Tablet
 
Ni tablet siyo tables.

Kama nielewavyo mimi ipad inakuwezesha kupata access to websites kwenye internet, labda access ya camera na video lakini tablet iko zaidi.

Kwenye tablet unaweza kutype text, kupiga simu, nk vitu ambavyo huwezi kupata access kwenye ipad

Yaani ipad ni mashoo mengi tu
 
hyo iPad yako unayotumia ya mwaka gani? ambayo haiwezi ku-type text, kupiga simu n.k??
 
tablets ni vifaa hivyo vipo vya kampuni tofauti tofauti including iPad, Samsung, lenovo nk
 
iPad ni kifaa cha kielektroniki. Tables ni wingi wa neno la kiingereza 'table' likimaanisha 'meza'

sasa sijui mwenzetu umetumia akili gani kufananisha vitu hivi viwili.
Wewe wajua jinsi ya kuchapa bakora za kichwa(akili)!
 
msaada kujua tofauti zake katika matumzi iPad inaizidi nini Tables?

Hata ipad ni tablet pia. Tablet ya apple inaitwa ipad, samsung wanaita galaxy tab na nyingine pia kutokana na kampuni yenyewe. Labda wako wengine wanaojua watakuelezea vizuri
 
ipad zinatengenezwa na Apple company na tablet zinatengenezwa na android companies e.g samsung,lg etc
 
ipad zinatengenezwa na Apple company na tablet zinatengenezwa na android companies e.g samsung,lg etc

yaani ninajua kuna IPad na kuna Tablet ila katika matumizi kipi zaidi au ni tofauti ya makampuni tu? kwa maelezo yenu?
 
Tablet na Ipad ni kitu kimoja isipokuwa, Ipad ni product ya apple na Tablet ni product ya Sumsung

Nafikiri umenipata
 
Tablet na Ipad ni kitu kimoja isipokuwa, Ipad ni product ya apple na Tablet ni product ya Sumsung

Nafikiri umenipata

Ni kweli iPad ni ya apple ila tablet ni Yale masimu makubwa Mara nyingi yako kwa ajili ya internet. Mfn. Samsung ,zte ,Vodafone etc..
 
Ipad ni aina mojawapo ya tablets

Ni sawa na kuuliza tofauti ya Toyota na gari
Au wali na chakula
 
Hivi tablets nzuri ni ipi ukiachana na zile za apple na Samsung
 
yaani ninajua kuna IPad na kuna Tablet ila katika matumizi kipi zaidi au ni tofauti ya makampuni tu? kwa maelezo yenu?

Tablet ni kifaa kinachoweza kupokea input kutoka kwenye kioo chake badala ya vitufe, tablet yaweza kuwa apple, samsung, acer n.k. kuna mmoja hapo katoa mfano wa kusema 'gari' na 'Toyota'.

• (also tablet computer or tablet PC) ( trademark in the UK) a computer that accepts input directly onto an LCD screen rather than via a keyboard or mouse.
 
Back
Top Bottom