G GGIRRIMATA Member Sep 27, 2014 21 1 Feb 16, 2016 #1 Naomba mnisaidie namna ya kupata H+ katika simu aina ya tecko j5 huwa inaandika 3G tu
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,333 41,665 Feb 16, 2016 #2 h+ pia ni 3g cha muhimu ni speed,