Game pc

Bengazuu

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
1,029
1,236
Msaada natumia laptop dell lakin kila nikiinstall game zinagoma zinasema " window unsupported"
 
Msaada natumia laptop dell lakin kila nikiinstall game zinagoma zinasema " window unsupported"
Taja model ya hiyo dell yako na specifications zake kama Ram, ,processor, HDD, na graphics pia...na umekua ukitaka kuweka game gan ?
 
Back
Top Bottom