Why Trakt Is Better Than Kodi Library Integration

wanaongelea tu library hapo, hio trakt (kama sijakosea inatokana na neno track it) ni library yako inayokaa online ya vitu unavyoangalia kama movies, series na vitu vyengine.

utaeka vitu unavyoangalia, itakuonyesha movie na series mpya, itakuonyesha baadhi ya media ambazo huenda utazipenda, itaonyesha movie na series zipi umeangalia na zipi bado nk

hivyo kwa matumizi yetu haya ya kipirate hichi kitu si kizuri na kinaweza kukutia matatani wenyewe wakikufuatilia.
 
Back
Top Bottom