Fanya back up kisha I reset uanze upyaPhone storage ina space ya kutosha Mkuu hata nikidownload nje ya play store inadownload bila shida
Hiyo ya whatsapp unaweza ukadownload kwa kutafuta google ukaandika whatsapp apk, lakni tatizo liko play store.Kwenye whatsapp ni inaonysha ni kama time expired ila ply store inaonyesha hakuna network connection
Hiyo ya whatsapp unaweza ukadownload kwa kutafuta google ukaandika whatsapp apk, lakni tatizo liko play store.
Kwanza jaribu ku-clear play store caches na google play service, reboot simu yako ndo ufungue hiyo play store kama bado jaribu kutumia line ya mtandao mwingine utafanikiwa pia kumbuka kuangalia tarehe na saa ya kwenye simu yako kama iko sahihi.
Inawezekana tatizo likawa network mkuu,huwa inatokea in some cases hasa kama apn field ni 'wap' kwenye apn setup yako.,in some cases network inaweza kusoma ukiingia google na some sites ila kuna sites nyingine ikagoma,,Kwenye whatsapp ni inaonysha ni kama time expired ila ply store inaonyesha hakuna network connection
Hii shida na mimi imenitokea upande wa play store.... Nimefanya kila kitu lkn bado.Inawezekana tatizo likawa network mkuu,huwa inatokea in some cases hasa kama apn field ni 'wap' kwenye apn setup yako.,in some cases network inaweza kusoma ukiingia google na some sites ila kuna sites nyingine ikagoma,,
long story short,nenda kwa settings,mobile network,access point name,then create new apn ,then kwenye apn field andika 'internet' then apn protocol enable both 'IPv4&IPv6'{though sio lazima,defaut IPv4 will do the magic},kisha save the enable iyo new apn kisha kafungue apps husika.{njia hii kama hizo apps zilikua zinafanya kazi before na ghafla ndo zimezngua}
Another alternative,whatsapp kuonesha time expired huwa inasababishwa na kuwa outdate au network kuzingua in some phones,sasa kama una access ya net,ingia WhatsApp for Android ,download whatsapp app,then install,(hakikisha ume allow unknown sources),itakua kua updated and every thing will be fine
Kwa upande wa Play Store,nenda apps management,ingia kwenye Google Play Services,force close,then clear all data(itaclear pamoja na caches),Do the same kwa Play Store,force close,clear data,,then kafungue play store,itabidi u sign in upya since uliclear data,and everything will work fine again.
Hope moja kati ya hizo njia zitakusaidi,no need to factory/hard factory reset
Mkuu inavoonesha tatizo lako lipo na network kama ulivo eleza,ila nashindwa ku figure out kwa speed hiyo inakuaje bado inazingua!i think last option hapo ni kuback-up important stuffs na ku factory reset,tena ikiwezekana fanya hard factory reset kabisa!ila bado nashindwa kuelewa iweje izingue kwa 1Mb/sec speed!!embu kabla huja fanya factory reset jaribu tena hizo process hapo juu na make sure Date & Time imesetiwa to 'Automatic'Hii shida na mimi imenitokea upande wa play store.... Nimefanya kila kitu lkn bado.
Nikisafiri mbal na hapa .... Inakubali... Nikiwa huku haifanyi kaz japo nina speed ya 1Mb/sec.
Nikiunganishwa na wifi inafanya kaz vizuri.... Ila kwa line ikiwa ndan haifanyi kabisa. Hapo ni play store
Nilisha reset factor sana lkn bado.Mkuu inavoonesha tatizo lako lipo na network kama ulivo eleza,ila nashindwa ku figure out kwa speed hiyo inakuaje bado inazingua!i think last option hapo ni kuback-up important stuffs na ku factory reset,tena ikiwezekana fanya hard factory reset kabisa!ila bado nashindwa kuelewa iweje izingue kwa 1Mb/sec speed!!embu kabla huja fanya factory reset jaribu tena hizo process hapo juu na make sure Date & Time imesetiwa to 'Automatic'
Iyo 1Mb Speed unaipata kwa hiyo hiyo device?umejaribu kubadili laini?Nilisha reset factor sana lkn bado.
Hapa issue ni network maana nikiunga wifi hata kama ipo low ya speed yangu inafanya kazi. Lkn nikiweka line humu haifanyi.
Nilisha kata tamaa nikitaka kupita play store naunga wifi
Yap nimechange ila bado.Iyo 1Mb Speed unaipata kwa hiyo hiyo device?umejaribu kubadili laini?
Kiukweli i got no more option ya kusolve hilo tatizo lako mkuu!Yap nimechange ila bado.
Ni device hii hii inayogoma