fundi simu msaada

bamku

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
538
427
Habari zenu wakuu, simu yangu tecno H3 inatatizo la kunasanasa keypads zake kiasi ambacho nashindwa kuandika sms na vilevile nikibonyeza backspace inaanika herufi m. sasa sijuwi tatizo lake ni nini.
 
una uhakika keypad zinanasa? sio kwamba umeeka t9 dictionary on?

wakati ukiandika sms bonyeza reli # halafu chagua Abc then jaribu kuandika.
 
itazame vizuri kama ina ufa basi juwa hiyo ni touch japo sio lazima iwe na ufa kwa hizo simu m3 h3
 
una uhakika keypad zinanasa? sio kwamba umeeka t9 dictionary on?

wakati ukiandika sms bonyeza reli # halafu chagua Abc then jaribu kuandika.
Bado tatizo lipo mkuu backspace inaleta alama ya kuuliza
 
Bado tatizo lipo mkuu backspace inaleta alama ya kuuliza

ichunie tu hio post yangu ulivyosema keypad nikajua simu yako ni ya button za kubonyezeka sio touch.

jaribu kudownload keyboard nyengine playstore uone itakuaje,
 
Aisee simu zetu hizi za tekno majanga kweli kaka badilisha tu hako katouch inaonekana tatizo
 
Back
Top Bottom