Naomba kujua tofauti ya hivi vitu Webcam, MP4, na 3GP

apologize

JF-Expert Member
Jul 22, 2015
710
568
Habari wakuu naomba mnipatie elimu juu ya vitu tajwa hapo juu mara nyingi naviona wakati na download video sasa sijajua jinsi ya kuvitofautisha .
 
webcam ni jina linalotumika mara nyingi kuelezea camera ya mbele ya dekstop/laptop

kwa desktop inakuwa kama hivi
webcam.jpg

kwa laptop inakuwa kama hivi
laptop-webcam.jpg

3gp hii ni format ya video mara nyingi zinakuwa ni video zinazotumika kwenye simu zenye quality ndogo.

mp4 pia ni format ya video kama 3gp lakini hii inakuwa na quality zaidi na inaangalizika kwa simu na pc na tv nk
 
Shukrani kiongozi
 
3gp ni third generation partnership..ni format ya vidz ambayo ilikua designed kwa ajili ya gsm phones.. huwa zina low resolution and small in size, WEBCAM ni web camera..ni camera inayotumika kwenye computer ambayo unaweza ukatuma au kushare picha moja kwa moja kwenye internet. Mp4 ni moving picture expert group layer 4 a.k.a mpeg4. Ni format ambayo inaonyesha video nzur zikiwa na large size..
 
Mim nina tatzo nikdownload vdeo youtube kuptia ucbrowers kuna zngn znakubal zngn hazkubal tatzo nn natumia nokia lumia 625
 
Back
Top Bottom