KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
Jamani nawaomba msaada natumia simu aina ya ZTE U880E ni adroid version namba 2.3.7 na kuna mahali kwenye seting nikiangalia wameandika mobile netwok type EDGE sasa kiukweli hii simu ipo slow sana kwenye internet yani mpaka naboleka naamini jf ndo karibu kila kitu kwangu na kuna watu wa kila aina imani yangu nitafanikiwa japo wapo watakaonikebehi msaada tafadhali