habari wadau.
Kama heading inavyojieleza hapo juu. Nahitaji Galaxy S4 genuine kabisa (black or blue). Isiwe clone wala isiwe fake na isiwe used. 16 Gig. mwenye kufahamu duka lipi naweza pata dar...
Smartphone ipi ina run vizuri hd games like GTA SA, Modern Combat or any other heavy games na iwe super kwenye Internet na budget yangu ni 300,000/- iwe imara maana nitakaa nayo mda mrefu
habari ya asubuhi wakuu.
Nimedownload irfanview na kuinstall nikadownload riot plugins lakini kila nikijaribu kuresize picha inaniletea pop up inayosema "cant load plugln RIOT.DLL
please install...
Habari zenu wakuu.
Ama baada ya salaam.................naombeni msaada kama mada inavyojieleza hapo juu wakubwa kuhusu app nzuri ya fonts kwa simu yangu wadau.
Simu niliyonayo hapa ni HUAWEI...
Ni wengi tumekuwa tukukutana na tatizo hili la written protection pale tunapotaka kutumia flash au memory card zetu hasa kwenye computer.
Hii inamaanisha kuwa hiyo flash au memory card imewekewa...
kumekuwa na ongezeko kubwa la simu za android ambazo zinatoka nchini china. watu wengi wamekuwa wakishindwa kuzifanyia hard reset simu hizi kutikana na lugha ambayo hujitokeza baada ya kujaribu...
Hili jambo la udukuzi wa taarifa za wateja kupitia mashine za ATM za baadhi ya benki nini hasa chanzo,uduni wa teknolojia za benki ama nini hasa? je watu hawa hufanikishaje zoezi hili hadi kuweza...
Hello Geeks!!
Naomba kutambua tofauti kati ya Scripting Language and Programming language according to their functionality and examples. Maana nimeanza kupata shida juu ya hii kitu baada ya...
HABARI WAKUU.
King'amuzi changu cha Azam kimepoteza signal toka jana,nimeangalia Dish liko vzuri sasa naomba msaada nifanyaje? Kunautaalam gani kwenye dish wa kufanya maana nimeangalia nimeona...
Nna tsh 180,000 naitaji window phone ata ikiwa used lakin iwe inafanya kazi vizuri, walau iwe na ukubwa wa inch 4 na kuendelea, iwe nokia, htc and etc ili mradi ina OS ya WP. Ahsanten
Kuna hapa nilikuwa na uwezo wakudownload movie ila sasa naona main sever watakuwa wame block torrents zote!je naweza kufanyeje niendelee kupakua stuffs?
Wataalamu wa software nina issue hapa, leteni mawazo yenu
Use case:
Nina web(with ftp) server ambayo inapokea (excel)files kibao kila siku,kutoka kwa client mbalimbali.
Ftp server inapokea na...
Nina android app ambayo inategemea .NET web service kuchota data kutoka kwenye database.
Sasa inapotokea nina badilisha au re-design baadhi ya web service components najikuta nalazimika kufanya...
Tuendelee na maujanaja namba 3 wa makomyuta na masoftware na mengineyo kama ifuatavyo:
1. Kutumia trial version software Forever!!
Ujue sofware nyingi ni za kununua na kama huna fedha basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.