Maujanja ya Computer haya(Must read)-No 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maujanja ya Computer haya(Must read)-No 3

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sizinga, Nov 11, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Tuendelee na maujanaja namba 3 wa makomyuta na masoftware na mengineyo kama ifuatavyo:

  1. Kutumia trial version software Forever!!

  Ujue sofware nyingi ni za kununua na kama huna fedha basi utatumia hiyo software kama trial tu(siku 15 au 30) halafu muda ukiisha huwezi tena kuzitumia(expire date). Sasa hapa ndio umefika. Njia hii haina expire date kabisa. Kivipi Ungana nami.

  -Hii njia inaitwa Time stopper. Time stopper ni software(just google it) ambayo inasimamisha muda kwa try out version software. Sasa unaposimamisha muda wa hiyo software basi utaitumia hiyo software 4-eva!!Muda wa hiyo software itarun kwenye hii time stopper na muda wa kawaida wa computer yako na tarehe zitaendelea kama kawaida.
  -Jinsi ya kufanya:
  -Download na install hiyo time stopper, then ifungue kwa double click.
  -Sasa ifungue(browse) hiyo software yako(trial version), ukute kifile cha .exe
  -Right click,fungua properties
  -Chagua new date(tarehe yoyote kabla ya expiration date, unaweza kuchagua tarehe siku 2 kabla ya kuexpire)
  -Hapo gonga choose any time
  -Click open sofware katika tarehe uliyochagua hapo juu.
  Hapo kuna angalizo kidogo, unaweza kutengeneza icon kwa hiyo modified icon ya trial version yako kwa kubonyeza ile button ya mwisho ya time stopper yako
  .  2. Jinsi ya kuformat USB with NTFS

  Kwenye window XP,Vista na 7 unaweza kuformat USB iende kwenye NTFS. Hapa ujue kuwa ukiformat hiz USB option iliyopo default ni FAT na FAT32 tu!! Hamna option ya NTFS.
  Kivipi, twende:
  -Connect USB yako kwenye computer
  -Right click 'My Computer' halafu nenda Manage'
  -Click device manage halafu expand Disk Drives
  -Nenda kwenye USB drive list under Disk Drives halafu gonga properties
  -Halafu nenda kwenye Policies tab
  -Sasa hapa default policy ipo kwenye Optimize for quick removal. Hiyo badilisha na weka Optimize for performance.
  -Sasa fungua Windows Explorer na right-click USB yako halafu chagua format.
  -Hapo utakutana na option ya NTFS.
  Kushney.


  3. Andika Jina lako kwenye Saa.

  Hapa unaweza kuandika kitu chochote unachotaka kwenye saa yako ya computer. Hii inaondoa lile neno la AM au PM na kuandika neno lako unalolitaka.(mfano 5:00AM itakuwa 5:00 MziziMkavu...hahaaaa!! So Fun)
  (Kumbuka hilo jina/neno liwe na herufi 8...sometime zinakuwa chini ya 8).
  Kivipi, twende!!
  -Nenda hapa start->Run->halafu andika Regedit kweny hilo box
  -halafu nenda hapa HKEY_CURRENT_USER\Control Panel\International
  -Hapa ongeza new string ie "s1159" and "s2359"(mara nyingi utaziona, ila kama hazipo ziandike, hiyo moja ni ya AM na nyingine ni PM).
  -Kama muda ni PM basi right clik hiyo halafu kwenye box futa PM halafu andika jina utakalo.(ziwe nane, zikiwa pungufu jaribu pia)
  Kushney


  4. Jinsi ya kuijua IP address ya connection yako.

  Members wengi wanatumia tu internet bila kujua IP code zao, twende sasa!!
  -Nenda hapa start/run, halafu andika 'cmd'.
  -Halafu andika 'ipconfig'
  -Halafu ongeza hii kitu '/all'
  You're done!!
  Tuishie hapo kwa leo:

  Ijumaa njema

  1 na 2 hizo hapa...
  https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/189899-maujanja-ya-mirosoft-haya-hapa-no2.html
  https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/189530-yajue-maujanja-ya-computer-hapa-should-see-this-no-1-a-2.html

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Tupo pamoja mkuu
  maujanja yako yanatisha,lakini ile ya kuboot via usb flash ina run lakini ikifika katikati inasema some file missing
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Kuboot?? OS ama hiyo ya USB with NTFS?? kama sijakusoma fresh hapo
   
 4. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Dah mkuu mi huwa sikosi hili darasa nipo seat ya mbele thanx
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Huwaga nakusoma mkuu...manake always unakuwa na quick responce with positive comment za mwanzo....bgup Pdraze!!
   
 6. olele

  olele JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  Mkuu nimefika mpaka nimeandika jina but still imebaki PM, au ukisha andika unafanyaje?
   
 7. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hayo kweli maujanja mkuu.
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu ile ya kuboot computa using usb,nafikiri ulituletea siku moja
   
 9. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Restart machine!!Na make sure sehemu ya PM ndiyo inabdalilsha, lama i,ebadi;isha AM basi subiri hadim AM ianze
   
 10. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Hiyo ya kuboot kwa kutumia USB sikuileta mm mkubwa...bt ninaifahamu ila sijawahi kuweka hiyo bado
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Umeona eeh
   
 12. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nahifadhi somo kwa matumizi ya baadae ngoja nisake kwanza somo la 1.& 2.
   
 13. O

  Obinna Senior Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu na attend class kwa mara ya kwanza nimepata kitu aise pamoja sana kiongozi next time siwezi kulikosa darasa.sijui kama naweza kuuliza swali lililo nje ya mada/ somo la leo
  ni hivi natumia kasperskey internet security, sasa nimeingiza external HDD system ikadetect malware sasa sikufix tatizo mpaka leo inadetect hiyo kitu na imekataa kufix inadai hiyo external na sina access na hiyo HDD maana haikuwa yngu sasa sijui mtaalam utanisaidiaje au kwa yeyote anayeweza kunisaidia hii kitu.
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Zisake utaziona, zipo so useful mkuu
   
 15. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Ujue extenal disk nyingi hazikosi virus, na kama kaspersky kama ipo updated basi ukiscan kuna uwezekano mkubwa wa kudelete useful crack kwenye software zilizomo. So kama hiyo HDD sio yako ni bora ukakausha tu, au kama vp scan lakini utambue vitu utakavyodelete manually, ili kuavodi kufuta some cracks coz most cracks zinakuwa detected kama virus bt infact sio virus....!!
   
 16. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  natumia imac mkuu nipe maujanja yake
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Mac...nipo "Full Empty Bottle" mkuu!!
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu repect you nimekubali
   
 19. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  U'r welcome!!
   
 20. olele

  olele JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  Mkuu class iko poa sana, ila tu napshana nalo sa sjui nifanyje ili niskose, huwa ni eveyday au na mda ni saa ngpi? Ungweka muda ili mida hyo tujue uko hewani tuingie. Ila thnks a lot mkuu
   
Loading...