Msaada:King'amuzi kimepoteza signal

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,426
1,431
HABARI WAKUU.
King'amuzi changu cha Azam kimepoteza signal toka jana,nimeangalia Dish liko vzuri sasa naomba msaada nifanyaje? Kunautaalam gani kwenye dish wa kufanya maana nimeangalia nimeona namba km zinaonesha angle hivi...LB itakua na tatizo au Dish?
 
Mara nyingi kama signal zikikata ghafla hauoni hata zero percentage ya signals hapo lazima LNB itakuwa imebuma mkuu,so check na installer karibu yako aje akucheckie LNB.
 
Mara nyingi kama signal zikikata ghafla hauoni hata zero percentage ya signals hapo lazima LNB itakuwa imebuma mkuu,so check na installer karibu yako aje akucheckie LNB.
Kwa hiyo itakua imeharibika ama? Au tu imetwist kidogo? Maana screen inadisplay to "No signal"
 
Hali hiyo me ilinitokea kama miezi miwili imepita kingamuzi cha Dstv so LNB yawezekana imepigwa zinga na radi imekufa kwani kama ingekuwa imetwist kuna some percantages za signal ungepata isinge soma zero kabisa.Ila uzuri Fundi akija huja na kifaa kinachopima signal akiona signal zipo atajua tatizo ni lnb kwani signal ni kutokana na uelekeo wa dish lako kufuata satellite.
 
Back
Top Bottom