Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 137
Nina android app ambayo inategemea .NET web service kuchota data kutoka kwenye database.
Sasa inapotokea nina badilisha au re-design baadhi ya web service components najikuta nalazimika kufanya mabadiliko kwenye mobile app, kisha na update changes.
User ambaye hatakuwa ame update kwenye latest version basi hatoweza kupata service alizokuwa anapata mwanzoni.
Je strategy ipi nzuri ambayo nawezakuitumia ili ku decouple mobile app from webservice? Kusiwe na ulazima wa kufanya changes kwenye mobile app pindi napofanya changes kwenye backend.
Pamoja