Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 137
Wataalamu wa software nina issue hapa, leteni mawazo yenu
Use case:
Nina web(with ftp) server ambayo inapokea (excel)files kibao kila siku,kutoka kwa client mbalimbali.
Ftp server inapokea na kuhifadhi katika ftproot directory.
Meanwhile web server inatakiwa ku respond kwa ku extract data kutoka kwenye file moja baada ya lingine na kuzihifadhi kwenye (relational)database.
Challenge:
>Timing
Nitumie approach gani ambayo itaiwezesha web server application ku react pale tuu file linapoingia kwenye ftp server?
> Data extraction
Excel files zinazokuja hazina pre defined format, ila zina columns fulani ambazo cells data zake ndiyo zitakuwa extracted.
Mfano:-
File la kwanza linawezakuja na column k.v UserID,FirstName,LastName.
File lingine linawezakuja na UserID, Amount, PaymentDate, ApprovedBy, ApprovedDate.
File lingine linawezakuja na UserID, ServiceOffered, ServiceDescription, Company.
.NET library ipi na approach ipi itafaa zaidi kulingana na context na content structure ya haya ma file?
Progress:
>Timing
Tunafanya ku-poll ftp server kila baada ya dakika 15 hivi. Hii threshold siyo nzuri kwani inaweza kula server resources hata kama hakuna file lilokuwa received.
>Data extraction
Nimetumia .NET System.Data.OleDb ku manipulate excel file, ingawa extraction logic haijakaa vizuri sana, siyo ad-hoc oriented kivile.
Naomba idea zenu katika ku approach hii issue.
Pamoja