Njia ya kutoa written protection kwenye flash drive

mwanajamii26

Member
Dec 16, 2014
58
13
Ni wengi tumekuwa tukukutana na tatizo hili la written protection pale tunapotaka kutumia flash au memory card zetu hasa kwenye computer.

Hii inamaanisha kuwa hiyo flash au memory card imewekewa pin ambazo zinamzuia mtumiaji kushindwa kuitumia hizo pin zinaweza kutoka na wewe ukaitumia flash yako au memory card yako kama kawaida .

So nimekuwekea video hapa ambazo zitakuonyesha jinsi ya kutoa hizo pin kwa kutumia windows7

 
Back
Top Bottom