Mkuu inaonekana pc yako ina virus wanaokuwa kwa kasi sana na hapo wameshateka hata connection ya internet cha msingiMsaada toka wiki iliyopita kila nikiingia internet kwa laptop inagoma kabsa sielewi tatizo nini inaandika" connection lost remain offline"