magabelab
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 374
- 202
Anza kujifunza c programming language kwa kupitia tutorials za youtube.
Kwa kutumia youtubedownloader kwenye pc yako ,
download playlist hii
http://m.youtube.com/#/playlist?list=PL0170B6E7DD6D8810
Pia unaweza kutumia app ya tubemate kwenye android phone yako, kudownload playlist za youtube.
Kuna playlist nyingi za c programming katika mtandao wa youtube,
Search c programming playlist utapata playlist mbalimbali kisha chagua playlist uipendayo
Pia tembelea
http://www.tutorialspoint.com/cprogramming/index.htm
Hii kujifunza zaidi.