mwanajamii26
Member
- Dec 16, 2014
- 58
- 13
kumekuwa na ongezeko kubwa la simu za android ambazo zinatoka nchini china. watu wengi wamekuwa wakishindwa kuzifanyia hard reset simu hizi kutikana na lugha ambayo hujitokeza baada ya kujaribu kitaka kuzi hard reset. sasa hapa nimekuwekea video ambayo inaonyesha jinsi ya kufanya hard reset kwa aina yoyote ya simu kutoka china