Nna laki na themanini naitaji used window phone

metudi

Senior Member
Aug 13, 2014
150
72
Nna tsh 180,000 naitaji window phone ata ikiwa used lakin iwe inafanya kazi vizuri, walau iwe na ukubwa wa inch 4 na kuendelea, iwe nokia, htc and etc ili mradi ina OS ya WP. Ahsanten
 
hela kubwa sana hio kwa simu za windows phone tanzania ambazo ni used. cheki site kama kupatana utazipata nyingi tu. angalia sana sana lumia 820 zimedrop bei sana mi nimenunua yangu laki 1 tu
Ahsante sna Chief-Mkwawa kwa kunifungua maskio be blessed bro.
 
Hakuna negotiation mkuu. Hiyo bei nimeropoka tu. Wahi kabla sijabadili mawazo. Lumia 925 na 930 ndo best lumia kwa sasa zikiwa na kamera bora kabisa ya 20
Google lumia 925 utaona
 
Nna tsh 180,000 naitaji window phone ata ikiwa used lakin iwe inafanya kazi vizuri, walau iwe na ukubwa wa inch 4 na kuendelea, iwe nokia, htc and etc ili mradi ina OS ya WP. Ahsanten
Mkuu bado unahitaji windows phone??
 
Karibu ulimwengu wa windows phone toka niingie wala sijutii na sina mpango wa kutoka, very powerful phone low budget, long bettrie durability. Everything is more than perfect. Mimi natafuta ingine kwa line ya tigo.
 
Hakuna negotiation mkuu. Hiyo bei nimeropoka tu. Wahi kabla sijabadili mawazo. Lumia 925 na 930 ndo best lumia kwa sasa zikiwa na kamera bora kabisa ya 20
Google lumia 925 utaona

Hii yako sio kweli....unaijua 1020 wewe na lumia mpya za microsoft 950/xl ?

Hajjmakwato
 
Tupeaneni maujanja kuhusu hizi window phone hasa aplication mbali mbali zinazokimbiza humu na mengine mengi
 
Back
Top Bottom