Nahitaji laptop kwa ajili ya matumizi ya shule. Nafahamu kua zipo laptop mpaka za million lakini uwezo wa bajeti yangu ni 200000-270000Tsh . Napatikana Tanga, contact number 0769686826 or...
Msaada kwa wale wataalam wa IT na internet. Katika email yangu ninasumbuliwa sana na hizi msg ikionyesha kuna mtu maeneo mbalimbali ya dunia mfano mexico, cambodia, brazil, slovakia argentina na...
Huduma ya WhatsApp haitatumika tena katika simu zinazotumia mifumo kadha ya programu ikiwemo Blackberry 10, Nokia Symbian S60 na Windows Phone 7.1.
Kampuni ya Facebook inayomiliki huduma hiyo...
Nimedownload game kwenye torrent mpaka likafika 100% baada ya hapo naona imeganda huku imeandika seeding maana yake ni nini nimesubir had bas hata sielewi msaada jamani!!
Habari jf, leo nimenunua vocha tunnel guru lakin tatizo likaja wakat wa kujaza details kama web host, proxy url na zingine, naomba kunijuza japo kdg nipate mwangaza. Ahsante.
Njunwa naomba mchango...
Walimu wamelalamika kuhusu "Saa za chabo" zinazouzwa kwenye mitandao zinazowasaidia wanafunzi kuibia kwenye mitihani. Saa hizi za kidijitali, zina "kitufe
cha dharura" ambacho ukibonyeza haraka...
Window 7
Window 8
Window 8.1
Window 10
Yaan nipo dilemma sijui nipige window ipi? Kati ya hizo shapiga 8.1 , 8 ila 10 na 7 sijapiga please wadau mawazo yenu ni muhimu sana kwangu.
Blog yangu inakuwa disapproved bcz mwanzo nilikuwa natumia kiswahili
sasa naomba kama kuna mtaalamu anipe ujuzi wa jinsi gani naweza kuwa approved
au kulipia huo ujuzi kama upo wa kuwezesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.