Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Smartphone ipi ina run vizuri hd games like GTA SA, Modern Combat or any other heavy games na iwe super kwenye Internet na budget yangu ni 300,000/- iwe imara maana nitakaa nayo mda mrefu
kwa bei hio go used tafuta simu yoyote yenye snapdragon 800, 801 au 805 unaweza ukapata hizi ni baadhi ya simu ambazo unapata used au sometime mpya kwa hio bei
-lg g2 version yoyote
-galaxy s4 version ya sd 800 gt i9506 usinunue s4 nyengine tofauti na hii
-xperia z1
hizo lg g2 mpya zake zinapatikana around 350,000 kama utaongeza hela kidogo.
pia kuna xiaomi redmi note 3 yenye snapdragon 650 hii ni nzuri kushinda hizo hapo juu lakini upatikanaji wake ni mgumu, kuna kesi kenya ya xiaomi kutumia jina mi siku yoyote ikiisha zitaanza kuingia mtaaani bei yake ni around dola 150 (330,000)
Njoo inbox nikufanyie mpango 0652971495Angalau xiaomi redmi note 3 ni latest tofauti na hizo ulizotaja maana spec naziona ni za ukweli 3GB Ram , 32GB ROM na hiyo Snap 650 (1.8Ghz), though nimesearch Google ina lack baadhi ya vitu naona nikwasababu ipo cheap hawajajisahau kuibania baadhi ya vitu , naona bei yake till 140$ zikiingia huku bei si itakuwa juu bila shaka
Angalau xiaomi redmi note 3 ni latest tofauti na hizo ulizotaja maana spec naziona ni za ukweli 3GB Ram , 32GB ROM na hiyo Snap 650 (1.8Ghz), though nimesearch Google ina lack baadhi ya vitu naona nikwasababu ipo cheap hawajajisahau kuibania baadhi ya vitu , naona bei yake till 140$ zikiingia huku bei si itakuwa juu bila shaka