UDUKUZI WA ATM CARDS.

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
3,835
4,064
Hili jambo la udukuzi wa taarifa za wateja kupitia mashine za ATM za baadhi ya benki nini hasa chanzo,uduni wa teknolojia za benki ama nini hasa? je watu hawa hufanikishaje zoezi hili hadi kuweza kuwaibia wateja fedha.
Nitakugunduaje kuwa matumizi ya ATM mashine sio salama kwa wakati huo.?
je,ni sahihi kutokuwa na imani kwa benk za kitanzania?
Msaada tuelimishane katika hili.
 
Back
Top Bottom