KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,962
Habari zenu wakuu.
Ama baada ya salaam.................naombeni msaada kama mada inavyojieleza hapo juu wakubwa kuhusu app nzuri ya fonts kwa simu yangu wadau.
Simu niliyonayo hapa ni HUAWEI Y520 -U22 (KISHKWAMBI) 4.4.2 nilijaribu ku-download app moja kutoka Playstore inaitwa iFont lakini baada ya ku-install ikanitaka ni-root simu yangu sikutaka kufanya hivyo kwa kweli nikasema nije jukwaani kwanza.
Natanguliza shukran kwenu,thanks.