Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana JF Natafuta site ambayo inaprovide free hosting kwan nataka kutest website yangu, pia hata mtu alie mbali namimi nataka aione kwanza alafu ndo ntafanya decision ya kununua hosting plan...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu .. pc yangu kwenye properties nimekiona hiki kitu Rating 5.0 window experience index maana yake nini?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu, natumia TECNO j5 naomba kujua network security key naweza kuipata wapi kwenye simu, maana rafiki yangu ameshindwa kuaccess wireless kupitia simu yangu kwa sababu ya hizo passwords...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habarini wanajukwaa natafuta simu hiyo madukani MICROSOFT/NOKIA 215. je kuna mtu anaweza kuwa anafahamu mahali ilipo katika maduka mjini. iwe Dar ama Arusha. msaada tafadhali. shukrani
0 Reactions
1 Replies
906 Views
hongera kwao kwa kuskiliza kilio chetu sasa ni mwendo wa kutumiana notes na ma documents mbalimbali
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie simu yangu ZZTE KISS3MAX inaniambia slot sim parmenent locked.nawezaje tatua tatizo hili.
1 Reactions
3 Replies
798 Views
Nime update aps ya JF katika tab yangu huku nikiwa na imani itakuwa imeboreshwa na kuwa user friendly, lakini naona mambo yamekuwa kinyume chake. Sikutegemea kama itakuwa mbaya kiasi hichi. Sasa...
0 Reactions
6 Replies
976 Views
Swahili Technologies video tutorials pata mambo yanayohusiana na technology kwa lugha ya kiswahili tumeanza na webdesign wahi sasa kwa anayetaka subcribe channel yetu uwe updated na vitu vipya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetengeneza app ya kuangalia African music & comedy videos, hua napenda kuangalia african music lakini app ya youtube hua inaniangusha sana kwa kua kuna features nahitaji lakini haina, kwa hiyo...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Nawasalimu wana JF Naomba msaada wenu, ninayo laptop ya MacBook pro retina edition late 2013, niliifanyia partition nika mackintosh HD ikaendelea ku operate kama kawaida Yosemite, na partition ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani computer yangu haina anti-virus na kila wakati napat shida na virus kama trojan etc. tafadhari nisaidie antivirus ya uhakika ambayo ni free
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nataka ku downgrade video quality ni app ipi nzuri?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari za jion, nahitaji kinunua king'amuzi cha EASY TV. Ni wapi kinauzwa, mwenye kuelewa aniuza tafadhari
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Authorised strong dealer in kenya
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Fahamu mbinu na jinsi ya kuprotect kompyuta yako. PROTECT YOUR COMPUTER FROM VIRUSES, HACKERS, AND SPIES PROTECT YOUR COMPUTER FROM VIRUSES, HACKERS, AND SPIES - techackonline
2 Reactions
0 Replies
915 Views
Again nimefanya tutorial ambayo inaelezea some simple yet amuzing tricks unazoeza kufanya ukiwa na software ya note pad. its simple and easy. just grab your laptop and follow this link code...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wataalamu, nimescan vyeti na CV yangu, bahati mbaya kila nikiattach ili nifanye application naambiwa mafile yangu makubwa, nawezaji kuyapunguza? Kuna app yoyote ya kuweza kupunguza au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni msaada wana jamii namna ya kuiondoa msg hii maana imekuwa kero sana katika simu yangu siwezi fanya chochote
0 Reactions
22 Replies
4K Views
habari wakuu naomben mniambie model na brand ya hiyo modem niinunue isisumbue kuflash pia nambien kama kuna madhara ya kuflash modem pia nataka modem yenye speed kali mchango wako na ubarikiwe...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Habari wakuu. Juzi Kati nilipeleka simu kwa fundi kubadili system charge na akabadili. Ila baada ya hapo simu imekua inapoteza Sana mawasiliano yaaani unakuta line haisomi kana kwamba hakuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…