Modem gani rahisi ku flash ntumie line zote

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,788
3,028
habari wakuu naomben mniambie model na brand ya hiyo modem niinunue isisumbue kuflash pia nambien kama kuna madhara ya kuflash modem pia nataka modem yenye speed kali
mchango wako na ubarikiwe sana pia mwenye WP lumia925 ani pm kuna mteja anataka ana200k.
 
labda upate model za zamani za kipindi kile cha zain mtandao wowote, vinginevyo nunua universal ila hizi wanazozileta saiv utahaso sana, mimi leo siku ya tatu nakomaa ku unlock airtel wingle na megafon 4G ya ki russia na cjafanikiwa, code ninazo ila wameblock sehemu ya kuziingizia na bado nakomaa.
 
habari wakuu naomben mniambie model na brand ya hiyo modem niinunue isisumbue kuflash pia nambien kama kuna madhara ya kuflash modem pia nataka modem yenye speed kali
mchango wako na ubarikiwe sana pia mwenye WP lumia925 ani pm kuna mteja anataka ana200k.
Na hii technology kwanini usitumie simu kama modem yako iwapo unatumia pc
 
Ni kweli, na ukitumia simu speed ya internet ni kubwa kuliko ya modem peke ake, hasa simu za hawa jamaa wanaitwa samsu*g wako vizuri kwenye maswala ya network bands switchings.
 
mkuu ndani ya simu pia kuna modem, kinacholeta hio speed ni specification za hio modem. nyumbani una kimodem cha 2010 cha 3.2mbps usitegemee kushindana na simu ya malaki ya hela. ukiwekeza kwenye modem za kawaida ukanunua nzuri inaweza kuwa na speed kushinda modem ya simu.
 
wakuu vp hiz voda zte naskia nazo poa tuu 7.1mps pia nliambiwa hakua software ya kuflash mod za zantel cjui kama kwel naomben msaana hapo na bei ya hiyo modem za zantel Mr Mkwawa nashukuru na pia hizo za zaman spid yake si ndogo sana maana me nataka ya 3G
 
Inaweza ikawa ivo, ila kwa hii airtel wingle na kama unavoijua ni latest na ina promise 21 mbps kusema kweli haija fua dafu kwa kigalaxy ace cha mwaka 2011, na sio wingle tu karibu kila tolea la modem za mitandao yote uwa zikitoka nanunua sijaona iliyozidi io simu, kama kuna unayoijua inafanya vizuri nijulishe niipate namimi.
 
kama una coverage ya 4g tigo kachukue modem yao ya 4g na kuna mdau anazi unlock humu, zina speed hadi 150mbps na band nyingi za 4g ikiwemo TTCL hivyo utakuwa na option. nimeitumia siku kadhaa speed yake ni nzuri sana
 
wakuu vp hiz voda zte naskia nazo poa tuu 7.1mps pia nliambiwa hakua software ya kuflash mod za zantel cjui kama kwel naomben msaana hapo na bei ya hiyo modem za zantel Mr Mkwawa nashukuru na pia hizo za zaman spid yake si ndogo sana maana me nataka ya 3G
modem hizo ni tofauti na za cdma, ni gsm kwenye ile thread kina shaffin na spymate wanazo kawaulize experience yao ipoje ni muda sasa washazitumia sana watakupa feedback nzuri
 
kama una coverage ya 4g tigo kachukue modem yao ya 4g na kuna mdau anazi unlock humu, zina speed hadi 150mbps na band nyingi za 4g ikiwemo TTCL hivyo utakuwa na option. nimeitumia siku kadhaa speed yake ni nzuri sana
Simu unawezaje kuitumia kama modem
 
mkuu ndani ya simu pia kuna modem, kinacholeta hio speed ni specification za hio modem. nyumbani una kimodem cha 2010 cha 3.2mbps usitegemee kushindana na simu ya malaki ya hela. ukiwekeza kwenye modem za kawaida ukanunua nzuri inaweza kuwa na speed kushinda modem ya simu.

Mkuu ni jinsi gani naweza kuifanya simu yangu iwe modem, msaada jinsi ya kuunganisha.
 
kama una coverage ya 4g tigo kachukue modem yao ya 4g na kuna mdau anazi unlock humu, zina speed hadi 150mbps na band nyingi za 4g ikiwemo TTCL hivyo utakuwa na option. nimeitumia siku kadhaa speed yake ni nzuri sana
Shukrani, itabidi niitafute io ya tigo, io ya ttcl ninayo ilinipa matokeo mabaya nikairundika kapuni.
 
modem hizo ni tofauti na za cdma, ni gsm kwenye ile thread kina shaffin na spymate wanazo kawaulize experience yao ipoje ni muda sasa washazitumia sana watakupa feedback nzuri
nashukuru chief basi nitanunua gsm ili kwa hiyo model ili niweze kiuflash maelekezo ya ule uzi nimeupitia safi sana sema kutumia simu na pc inasumbua sabab ya vimeo chaji halafu nimeamia WP so nahitaj kuichunguza vizur hii OS asante
pia pc yangu haikubal sharing itanibid nijikaze ninunue mpya i7 maana shughul zangu ni za mitandao sasa
 
Shukrani, itabidi niitafute io ya tigo, io ya ttcl ninayo ilinipa matokeo mabaya nikairundika kapuni.
mi niko kwenye coverage ya 2G, ambako hiz modem zinapata tabu, nachokifanya ni kuforce 3G network kwenye simu, apo mnara unapotea kabisa lakini internet connection inakuwepo na yenye spidi, nikijaribu kuforce kwenye modem sipati kitu inabidi nirudi auto, uo ndio ugomvi wangu na modem.
 
hapa kama tatizo ni signal. force ikae 3g then hamisha laptop maeneo tofauti uone kama utapata signal ukipata nunua ule waya wa ku extend ili modem ifike mbali upo kama hivi

USB-2-A-Male-A-Female-Passive-Extension-Cable-6-Inches-1.jpg
 
Unaponunua Modem inabidi u Focus future leo Unanua modem ya 3G 30,000/= mpaka 40,000/= wakati Modem ya 4G ni 50,000/=

Mimi kwangu haiingii kabisa,Una shida na Modem zile za Tigo ndo Mpango mzima!
 
Back
Top Bottom