SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Nime update aps ya JF katika tab yangu huku nikiwa na imani itakuwa imeboreshwa na kuwa user friendly, lakini naona mambo yamekuwa kinyume chake. Sikutegemea kama itakuwa mbaya kiasi hichi.
Sasa nataka kuirudisha ile old version ambayo kwa upande wangu naona ni bora mara 100 kuliko hii mpya. Ila namna ya kufanya hivyo ndio sifahamu.
Sasa nataka kuirudisha ile old version ambayo kwa upande wangu naona ni bora mara 100 kuliko hii mpya. Ila namna ya kufanya hivyo ndio sifahamu.