Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 146
Habari wataalamu, nimescan vyeti na CV yangu, bahati mbaya kila nikiattach ili nifanye application naambiwa mafile yangu makubwa, nawezaji kuyapunguza? Kuna app yoyote ya kuweza kupunguza au nifanye nini ili niyapunguze? Msaada tafadhali