whatsapp yawezesha kutuma documents

Yeah... Japo sijajua ni ukubwa gani mkuu.. Vp umefanya uchunguzi wa hili.... Maximum document iwe na ukubwa gani ndo inakubali....?
 
Watakuwa wamezidi kuboreka na wataongeza watumiaji. ....hasa linapokuja suala la documents, labda tu kwa mwenye kujua size atujuze
 
Wamalize na other file kabisa kama telegram
1457772181474.jpg


Wanasema kuna video call.... Wacha tusubiri
 
Lini wnategemea ku launch hyo vdeo call?
Ain't really sure.. Nahisi hizi update zinazo kuja zitakuwa na mabadiliko... This time nimeona kwenye call wamerekebisha.. Sio kama mwanzo....
 
Ila kama mtakuwa mmeona, whatsapp imekuwa ina crash vibaya karibu kila mara. Mwanzoni nilidhani tatizo ni simu yangu, kumbe hata wenzangu nao wana experience hayo hayo.
 
bado sana coz kutuma kwenye group mpaka watu wote walio ndani ya group wawe wameupdate whatsap zao
 
bado sana coz kutuma kwenye group mpaka watu wote walio ndani ya group wawe wameupdate whatsap zao
Sio kwamba watu hawaja update mkuu. Hapo kuna mawili... Moja yawezekana kuna watu hawaja update kweli.. Au kuna wengine wachache wanatumia hizi GBWhatsapp sijui whatsapp +... That's why...
 
Back
Top Bottom