Msaada wa Apps za Macbook pro retina

KIJANA2013

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
466
200
Nawasalimu wana JF

Naomba msaada wenu, ninayo laptop ya MacBook pro retina edition late 2013, niliifanyia partition nika mackintosh HD ikaendelea ku operate kama kawaida Yosemite, na partition ya pili Bootcamp HD nika install window 8.1. Zilikuwa zinafanya kazi vizuri tu, tatizo lilikuja kuanzia wiki mbili zilizopita, ilikuwa nikifungua website, mfano JF, zinafungunguka pages kama 10 hivi zote za JF. nikaona ni bora ni-restore industrial settings. nikarestore then Inaja option ya kureinstall Capetain, sasa basi wakati nareinstall, umeme ukakatika hivyo haikumaliza installations, ikazima. nilipokuja kuswitch on, mackintosh HD haifanyi kazi kabisa, hivyo hata Apple stores siwezi ku reinstall Capetain. MacBook yangu sasa hivi naitumia kama laptop yenye windows pekee. Naomba msaada wa nifanye nini ili laptop yangu niitumie kama zamani.

Nawasilisha wakuu
 
Kama ulinunua kwa dealers wa apple wapelekee watakusaidia.
 
Find someone with a mac, download yosemite or el capitan from the app store. Make a bootable flash drive based on the image you downloaded(Google how to) ukiwasha macbook yako enter into boot options then select your flash drive, and install it kwenye partition yako iliyoharibika.

PS: usidownload image ya zamani, apple reset their certificates few weeks ago and that will make old images not to work, just get a fresh image from the app store


Another option, boot into network/internet recovery mode, connect to the internet and your macbook will download and install the operating system yenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom