Natafuta Anti-virus

Natafuta Anti-virus

boma2000

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2009
Posts
3,321
Reaction score
318
Jamani computer yangu haina anti-virus na kila wakati napat shida na virus kama trojan etc.

tafadhari nisaidie antivirus ya uhakika ambayo ni free
 
comodo its the best free anti virus,nhstumia avg,avast na zingine lakini sikuridhishwa nazo.Give it a try
 
Wakuu na mimi nahitaji anti virus ya Kaspersky,mwenye code anipe ni renew.Nitampa pesa!
 
Back
Top Bottom