''Unfortunately the android process media has stopped''

Kilemachocho

JF-Expert Member
Feb 19, 2016
560
365
Naombeni msaada wana jamii namna ya kuiondoa msg hii maana imekuwa kero sana katika simu yangu siwezi fanya chochote
 
shakufanya root simu yako then uninstall apps ambazo unahisi ni virus au tumia monkey virus remover
 
Upo wapi. Mimi nipo Moro tatizo hili lilinipata. Nilidumu nalo zaidi ya mwezi mmoja. Hao in virusi ambao umewapata hasahasa kwenye Ku dawload video au application kwenye mitandao. Virusi hawa hatoki kwa kuflash wala Ku reset. Yote haya niliyafanya bila ya mafanikio. Yupo fundi sim mmoja hapa Moro ndio alitatua tatizo hilo na kutokana na maelezo yake ni kwamba kuna ant virus maalum aliinunua baada ya kuibuka tatizo hili hasa kwa sim za Tecno na Huwawei ndipo alipowasiliana na jamaa wa Tecno na kumwelekeza hiyo ant virus
 
Back
Top Bottom