Application ipi nzuri ku downgrade video quality?

unataka kushusha quality au kupunguza ukubwa?

tumia software yoyote ya kuconvert video kama freemake video converter au handbrake ni software za bure just google hayo maneno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom